“Mawazo” by LBK NandeBoy | Official Audio Kindly Subscribe @LBKNandeboy Stream On: https://BlackMarket.lnk.to/mawazo #blackmarketrecords #mawazo #lbknandeboy #nandeboyz #afrobeats Mawazo Lyrics; Juwa Nami mina wivu Moyo wangu Wa nyama Siyo wa Chuma Siyo wa chuma Nasiyo kwamba sina lakusema Juwa minamengi yakusema Yana niumaaa Kumbe yule unaye ita Daddy ndiyo wako sugar daddy Kama kuachana imebidi Kama kuachana imebidi Nilikuwa nikidhani nimepata Kumbe nimepatikana Nilikuwa kwako nikijiona sujja Kumbe kwako sina maana Ni MAWAZO muniache nilewe Jamani ni mawazo Ni MAWAZO muniache nilewe Jamani ni MAWAZO Yote sawa kama kuwa single sawa Sawa Nami nitazoea sawa Kila kitu kina mwisho Nami nimekubali matukiyo Ndomaana kidogo changu Nikikupa hausemi asante Kumbe unawale wanao kupa vingi Kwani Wana miliki vingi Kidogo changu cha jasho Napo kupa waleta miyeyusho Waleta miyeyusho Haufikiri ya kesho Nilikuwa nikidhani nimepata Kumbe nimepatikana Nilikuwa kwako nikijiona sujja Kumbe kwako sina maana (Chorus) Nimawazo muniache nilewe Jamani ni mawazo Nimawazo muniache nilewe Jamani Nimawazo Mapenzi Nita yaona tu kwa movie Mapenzi Nitayaona kwa wengine Mapenzi Nitayaona kwa wenzangu Yaani Mapenzi Mapenzi hii Mapenzi yame nifanya Mushenzi Mapenzi Mapenzi hii Yaani Mapenzi Mapenzi hii Mapenzi yamenifanya mushenzi Mapenzi nime ya vulia shati Nilikuwa nikidhani nimepata Kumbe nimepatikana Nilikuwa kwako nikijiona sujja Kumbe kwako sina Maana Ni MAWAZO Muniache nilewe Jamani ni MAWAZO Ni MAWAZO muniache nilewe Jamani ni mawazo Mawazo 3 Piece; https://drive.google.com/drive/folder…
“Mawazo” by LBK NandeBoy

Facebook
Twitter
LinkedIn
WhatsApp
Email
Recent Posts
Khemi Tunez’s “Shake It Off” Is A Vibrant Anthem for Resilience and Letting Go
21/02/2025
No Comments
Mbuzi Gang & Harry Craze Drop “DENDA” Music Video – It’s About to Get Crazy!
20/02/2025
No Comments
Mbuzi Gang & Harry Craze Drop “DENDA” Music Video – It’s About to Get Crazy!
20/02/2025
No Comments
ODI WA MURANG’A & JOEFES SET TO DROP “NDAE” MUSIC VIDEO – ARE YOU READY?
20/02/2025
No Comments
“Tumia Kichwa”: A Mix of Creativity, Ambition, and Good Vibes
20/02/2025
No Comments